Tatizo la Hard disk kufa

 Kumekuwa Na Tatizo Watu Wengi Kupoteza Data/Informations Zao Za Muhimi Kwenye External Zao Na Wasiweze Kuzipata Kutokana Na Vifaa Hivyo Kufa!



Kama Magonjwa Ya Binadamu Yalivyo Na Viashiria Hata Tatzo Hili La Kufa External/HDD Lina Viashiria Kwa leo Nakuletea Viashiria(Symptoms) Vitano Ukianza Kuviona Fanya Backup Ya Files Zako Na Nanua HDD Nyingne! Na Muda Tu Itachukua Utashangaa External/HDD Haifanyi Kazi

● INACHUKUA MDA KUSOMA/KUFUNGUA MAFILE Computer Itachukua Muda Kuisoma External Na Ikisoma Kufungua Mafile Inakuwa Changamoto Yaani Inatuckua Mda Kufungua Mafile! Kwenye Upande wa HDD Computer Inakuwa Inachukua Mda Kuboot (Kuwaka) Ambavyo Sio Kawaida. Pia Kuchelewa Kuwaka Inaweza Kuwa Software Issue So Fanya Troubleshooting Pia Update Windows

●MAFILE KUPOTEA/KUTOKUFUNGUKA Ushawai Kufungua Folder/File Afu Ukapata Error Message Maybe "The File Has Corrupted" Hii Ni Ishara Ya Vitu Kibao Kwenye Pc Lakini Pia Inaweza KuwaKwamba HDD/EXTERNAL Yako Imebakiza Maisha Mafupi! So Ukiona Ishara Hii Fanya Backup Ya Vitu Vyako Muhimu

Thumbs up
●KUTOA MLIO/SAUTI YA AJABU Hizi Devices Zimetengenezwa Kufanya Kazi Bila Kutoa Sauti/Muungurumo Wowote Maybe Labda Usogeze Sikion Utaskia Muungurumo (Ambao Ni Wa Kawaida)
Hyo Ni Plater Inazunguka! Ila Sauti Ikiwa Kubwa Aisee Tatzo Hilo Fanya Backup Fasta Kujikinga Na Janga La Kupoteza Vitu Vyako Mapema ●BLUE SCREEN OF DEATH Hii Inatokea Kama Unatumia PC Yako Kawaida Tu Afu Ghafla Pc Inabadirika Inakuwa Ya Blue (Kama Inavyoonekana Kwenye Picha)

●HDD/EXTERNAL KUTOKOSOMA SOMETIMES Ishara Ya Mwisho Kwamba Maisha Ya Kifaa Chako Yanafikia Ukingoni Ni Sometimes Kutokusoma Yani Unachomeka Afu Utaona Message Kwamba Computer Haitambua Kifaa Kilichochomekwa

Ahsante Kwa Muda Wako Usisahau Kushare na wengine Elimu Iwafikie Wengi


Comments