Habari ndugu,
Karibu tena katika blog yetu kujisomea mambo mablimbali yanayohusiana na technology. leo sitatoa somo ila niwafiungue macho wale wanaotaman kujifunza au kuifahamu sana computer na technology kwa ujumla. wengi tumekuwa tunachukulia kwaida sana maana hatuna desturi ya kukaa na kuchimbua undani hasa ianbkuwaje na mambo yanaendaje uko katika technology. Tunaishia kufurahia devices mpya kila siku lakini hatuwazia tunafunguaje macho kuona mbele kutakuwaje hasa kwa sisi watumiaji na sio watengenezaji.
Watu wengi tumekuwa tukitaman sana kujua mnaswala ya hacking and penetration lakini hatuwazi upande wa pili hiucho kitu ni nini?!! , mtu anachukulia ni kwaida na rahisi tu ataelekezwa an kuafanya chap tu, Hapana, unatakiwa uwe katika level ya medium au high as a computer user, hapa siongelei hawa beginners.
Watu wengi wanatamani kuijua dark web au dark net lakini hawawazi kwanini kwanza ni dark au huklo kuna nini hadi kuitwe dark web/net/site. kwanza kwa beginners atafikiria kawaida tu ila wale medium and high computer user lazima uwaze ni nini kwanza, je nini kinanipeleka uko, alafu what next. Na kama tujuavyo ni kosa la jinai kushiriki yalioko ndani.

Comments
Post a Comment