LAN Terminology

Fahamu baadhi ya maneno na kazi zake au maana zake.


1.  uploading :   ni kusafirishwa data kutoka kwenye komputa  ya mtumiaji kwenda kwenye internet.    
Japo  tafsiri nyingine yaweza kufaa  kwamba kusafirishwa data kutoka computer ya mtumiaji kwenda Kwenye computer cloud computers.


 NB:  neno "uploading" Na neno "send" ni tofauti usichanganye
KAZI:   katafute maana ya neno "send".


2: downloading:   ni kinyume cha uploading.

SWALI:   katika wireless network. Na katika wired network. Katafute wapi penye  spidi wakati wa uploading lakini ipo  slow katika downloading.    na kinyume chake


3.  errors.   :  katika computer. Errors zinatokana na data kuwa zimehifadhiwa vibaya kwenye RAM



4.  Macromedia flash player :    kifaa (software)kinachofanya web browser kuwa na uwezo wa kuonyesha picha zinazotembea..video..na movements....na kwamba bila hicho huwezi Fanya streaming online.



5.  WAN.   Wide area network.    Ni aina ya network iliyokusanya networks Ndani yake  kama LANs. au MANs   .....mda mwingine inaitwa  network of networks

WAN  zipo part mbili
I/  public wan.    hii ni mfano internet.   Hii yoyote aweza kwenda

ii/ private WAN.   hii ni mfano intranet na extra net.    Hii huwezi kuingia wewe  sababu inamilikiwa na organization.  Wanakuwa na private network.  Kama CRDB branch zote.....

ONYO:  internet sio aina ya network.   Bali ni mfano tu katika public network.  PUBLIC WAN...

ONYO:  hakuna mahala ambapo panaitwa internet duniani.  Bali kwa namna   ulivounganisha kifaa chako  ndio kitasema upo  network gani


ONYO.   hakuna mtu  mwenye kumiliki internet.  Bali ni makampuni ya mawasiliano .....kwa hivo lugha hii haifai "simu yangu ina internet".    Bali lugha hii inafaa "simu yangu ina access ya internet"  


6.  LAN.  Local area network.  hii ni aina ya network ambayo imeenea eneo dogo khususan Ndani ya jengo.  Katika eneo Fulani la kijografia.  Katika utawala wa vifaa vimoja



7.PAN.   personal area network.       Hii ni network ambayo ni katika uwanda wa mtu  binafsi kwa kuunga mfano wireless mouse na pc. Au simu kwa simu.    Na hii hutumia  tecnolojia ya Bluetooth. Hii ndio ilikua infrared


8. intranet.      Hii wengi husema ni aina ya network.    Lakini wala si aina ya network.   Kwa sababu hii ipo  Ndani ya aina ya network teyari inaitwa WAN     katika kile  kipengele cha private wan.      Kwa hivi kama unaitafsiri hii usiseme ni aina ya network.       Bali hii ni terminology inayotumika katika private network.   Ambapo watumiaji wa network wanashea data wao tu na hakuna mwingine kutoka nje. Akaingia network hiyo.....

Maana ya hiyo ni sawa na extra net.   Japo   hii inaruhusu member wa nje kuingia kwenye network husika.  

kwa hivo intranet na extra net.      Ni terminology  tu.  Zinazotumika kwenye private WAN

____________________________________________


Kama una swali  +255743002239

Comments