Namna ya kugundua samsung iliyoghushi (copy)

*NAMNA YA KUGUNDUA SAMSUNG PHONE ILIYO GHUSHI*

KARIBUNI TENA KWENYE MUENDELEZO WA MASOMO MBALI MBALI JUU YA ANDROID OS PAMOJA NA DEVICES ZAKE NA LEO TUTA JIFUNZA NAMNA YA KUITAMBUA SIMU YA SAMSUNG ILIYO GHUSHI(FAKE) MAARUFU KAMA COPY AU CLONE TUWE PAMOJA

*MUONGO WA KUITAMBUA SIMU YA SAMSUNG ILIYO GHUSHI*

1. KAGUA KIOO CHA SIMU HUSIKA SABABU KAMPUNI ZINAZO TOA SIMU GHUSHI HUWA ZINA TENGENEZA BIDHAA TOKA KWNYE MATERIAL RAHISI YANI YASIYO KUA NA UBORA WA HALI YA JUU

2. KAGUA MWANGA WA KIOO PAMOJA NA RANGI ZILIZOPO MARA NYINGI ZILE FAKE HUWA NI BRIGHT SANA NA RANGI YA KIOO HAIJA KOZA SANA TOFAUTI NA SAMSUNG ORIGINAL

3. KAGUA KINGO ZA KIOO HAPA MARA NYINGI ZILE ZILIZO COPY HUWA KIOO KIKO MBALI NA UKINGO WA KIOO CHA SIMU HUSIKA

4. KAGUA UPANA WA KIOO CHA SIMU HUSIKA SABABU ZILE COPY HUWA NA KIOO KISICHO KUA KIPANA YANI HUWA NA MUONEKANO WA WEMBA MBA TOFAUTI NA KILE CHA SAMSUNG ORIGINAL

5. KAGUA KEY ZA SIMU MFANO HOME KEY PAMOJA NA VOLUME KEY,POWER KEY SABABU SIMU FAKE AU COPY HUWA ZINA NAFASI(GAP) KWENYE HIZO KEY HUSUSAN HOME KEY TOFAUTI NA ILE ORIGINAL

6. LINGANISHA NAMBA TAMBULISHI YA SIMU(IMEI) ILIYOPO KWENYE SIMU PAMOJA NA ILE ILIYO NYUMA YA MFUNIKO AU BOXI LA SIMU ULIYO NUNUA SABABU ZILIZO FAKE HUWA ZINA NAMBA TOFAUTI NA ILIYOPO KWENYE SIMU

7. KAGUA UBORA WA CAMERA YA SIMU HUSIKA KWA KUPIGA PICHA KADHAA ILI KUONA ZINA TOKA ZIKIWA NA UBORA UPI SABABU ILIYO GHUSHI HAITO TOA PICHA ZILIZO BORA

8. KAGUA JINA LA SAMSUNG KWA JUU YA KIOO KWA KULISHIKA SABABU SIMU ILIYO GHUSHI JINA HILO HUWA LIKO NJE YA KIOO KWA MUONEKANO NA UKI LIGUSA UNA WEZA KUHISI YALE MAANDISHI TOFAUTI NA SAMSUNG ORIGINAL

9. FANYA UKAGUZI KWA KUZIMA NA KUWASHA SIMU SABABU ILIYO GHUSHI HUWA INA MUONEKANO TOFAUTI PINDI INAPO ZIMWA AU INAPO WASHWA NA ILE BOOT SCREEN ITA KUFANYA KUTAMBUA KUA NI ORIGINAL AU GHUSHI

10. GUNDUA SIMU GHUSHI KWA KUKAGUA KWA KUTUMIA SAMSUNG TEST CODE HII *#0# NA ITA KUPELEKA KWENYE TEST MODE HAPO UTA FANYA TEST KADHAA IKIWEMO YA SENSOR ZILIZOPO KUA MAKINI ILIYO FAKE INA WEZA ISI KUPELEKE KWENYE TEST MODE AU IKA KUPELEKA HAPO LAKINI HUWA ZINA UPUNGUFU WA SENSOR KADHAAA PIA WAWEZA WEKA CODE HII *#1234# AMBAYO KWA SAMSUNG ORIGINAL HUKU ONYESHA SOFTWARE VERSION YA SIMU HUSIKA ZILIZO GHUSHI HAZI WEZI ONYESHA HVYO

11. MWISHO KABISA FANYA UKAGUZI KWA KUPITIA SIFA ZA SIMU HUSIKA(SPECIFICATIONS) AMBAPO KWA SAMSUNG ORIGINAL ITAKUA NA SIFA ZILE ZILE ZILIZO ORODHESHWA NA SAMSUNG MOBILE MFANO GALAXY SII INA RAM 2GB NA UKAIKUTA ULIYO NAYO INA RAM 1GB NI WAZI KUA HYO YENYE 1GB NI GHUSHI SABABU INA SIFA TOFAUTI NA SAMSUNG GALAXY SII HALISI


_*MPAKA HAPO NIME FIKIA MWISHO WA MAKALA HII NAAMINI NIME PATA KUFUMBUA MACHO NA UMAKINI WA WATU WENGI ILI KUEPUKA UNUNUAJI WA SIMU ZILIZO GHUSHI*_

*ASANTENI SANA*

Comments