Fahamu security tips

IT Security.. Tips

1. Install ant virus na hakikisha iko update muda wote.
2. Tumia nywila ngumu.. Kwenye website na apps zote unazotumia
3. Weka ulinzi wa kutosha katika ulinzi.. Wadukuzi wanatumia mtindo wa phishing kuiba taarifa hasa  namwohofia sanaaaaa.. Ki batch chake
4. Kuwa makini sana na social network zinazohitaji taarifa zako za ndani..
5. Tumia Wi-Fi zenye strong security kwa ajili ya ulinzi wako binafsi
6. Upload file zako za muhimu katika cloud.. Kama drive, mega, shoebox cloud na zingine
7. Weka ulinzi wa kutosha katika simu yako maana ina taarifa zako za binafsi (sishauri antvirus maana hata zenyewe ni battery killer) tumia password (word + number) passphrase au passcode.. Weka lockscreen ambayo ni strong like pattern au pin au nywila. Tumia encryption kulinda simu yako... Tahadhari zima bluethooth yako kama haina kazi. Usisave password zozote katika simu yako... Tumia tracking software kwenye simu yako zenye kutoa location na kuiformart endapo imepotea.. Hifadhi emai yako.
8. Usitoe taarifa zote katika mitandao ya kijamii
9. Kamwe  usi download ovyo file/software katika  unknown site
10. Weka ulinzi wa kutoshaa kaatika eneo lako la kazi..... Yaan funga kila kitu .. Lock computer.. Ficha sensitive document ... Remove waiting document kwenye printers hasa zile zilizo kwenye network....
Tukutane wakati mwingine

Comments