Google kufungia simu zisizo certified

Kuna massage nyingi zinasambaa whatsapp,telegram,Facebook na mitandao mingine kwamba simu ambazo hazijakuwa certified na google kutumia service zake zitafungiwa hapo baadae.

Hii habari ni ya kweli, muda mrefu Google amewaonya watengeneza simu lakini naona wengi hawatekelezi hili, simu zinakuwa hazijatestiwa wao wanazieka tu google service na kuziuza.
"mfano wa simu zitakazoathirika ni kama
1)umenunua simu china haina playstore ukaweka mwenyewe
2)simu za kichina zinazotengenezwa kimagumashi
3)Hata makampuni makubwa ambayo hayajafuata njia sahihi za google yapo kwenye huu mkumbo.
4)Simu zilizokuwa rooted na zilizobadilishwa firmware

Jinsi ya kujua kama simu yako ipo certified
Utafungua playstore kisha utaclick juu kwenye vimistari na kuchagua setting kisha utashuka hadi chini kwenye device certification

Leo nitatoa solution ya kitu cha kufanya ku certify simu yako incase hata zikifungiwa kutumia service za google usalimike.

1)utatakiwa ujue android device id ya simu yako. unaweza ukaipata kwa kudownload hapa

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.evozi.deviceid

2)Ukisha download fungua utaiona id ya simu.
-kubonyeza ##8255##  (si simu zote zinakubali)
-kwenda setting kisha about kisha status (unaweza usiikute)

3)kisha pata android id ingia hii website ya google kui whitelist simu yako.

https://accounts.google.com/ServiceLogin?passive=1209600&osid=1&continue=https://www.google.com/android/uncertified&followup=https://www.google.com/android/uncertified

Comments