Google adsense

*Google Adsence*

Vitu vya kuzingatia kabla ya kujisajili Na Google Adsence

1. Tengeneza Tovuti yako au Blog yako itakayohusisha mada fulani

2. Post mambo yahusuhuyo mada yako kwenye Blog / Tovuti yako
Hakikisha unakuwa na uelewa wa HTML Na Baadhi ya Programming Languages

3. Hakikisha Tovuti / Blog yako ina traffic ya kutosha nikimaanisha post zako zinapitiwa Na watu

*Ukifanikiwa hayo mambo hapo juu. Waweza jisajili Google Adsense kwa kutumia Barua pepe ya GMail iliyounganishwa Na Blog yako*

*Baada ya Google AdSense team kupitia Na kuona tovuti / Blog yako imekidhi vigezo basi wao ndio wataanza kuweka matangazo yao kwenye tovuti/ Blog yako.*

*Wewe utajipatia kipato pale tu baada ya watu kuclick matangazo ya Adsence kwenye Blog/ tovuti yako.*

Utalipwa kila mwezi kulingana Na idadi ya visitors walioingia kwenye Blog / Tovuti yako kupitia Paypal account yako...

Ps: GOOGLE ADSENCE does not endorse Hacking as niche for blogs or websites

Comments