COMPUTER YAKO IWE FASTA FUATA HATUA ZIFATAZO KWA USAHIHI
1. Click CTRL+R (yani CTRL na R kwa pamoja) then andika %temp% then ENTER. then click CTRL+A then DEL.
2. Click CTRL+R then andika temp then ENTER. then click CTRL+A then DEL.
3. nenda kweny my computer then nenda local disk C then right click then nenda kwenye properties then click disk clean up alafu iache imalize baada ya hapo itakuletea sehemu za kuweka tick weka tick kote alafu click ok.
Itakuulza are u sure u want to delete permanents? Accept then iache imalize. Ikimalza rudia hiyo hatua tena.
4. Nenda kwenye computer properties then advanced setting then advanced then advanced then utaona sehem ya juu wameweka tick itoe hyo tick kisha baada ya hapo shuka chin utaona sehem wameandika custom. Rudi angalia RAM yako ni ngap,
Then rudi Hapo kwenye custom
chukua namba ya ram yako zidisha kwa 1024 then jaza kweny minimum.
Chukua jibu ulilolipata zidisha na 2 jaza kwenye maximum.
Then click ok.
Itakuomba kurestat. Iruhusu irestart ili kusave changes, mambo yatakuwa poa kabsa.
NB.
speed ya pc yako inategemea na ukubwa wa ram yako hivyo jitahid kupunguza program zoote ambazo hazina matumizi ili kuifanya pc iwe fasta.
Epuka kuinstall program nyiiiingi ambazo huzitumii..

Comments
Post a Comment